
Pichani
ni taswira ya awali ya ndege iliyopata ajari ya wakati wa harakati za
kutaka kuruka na kupelekea kufeli na kudondokea ndani ya Ziwa Victoria
Jijini Mwanza.
Habari
zilizotufikia hivi punde kutoka kwa mdau wetu wa Mwanza Bahati Ngassa,
Ni kwamba kuna ndege iliyokuwa katika hatua za kuanza kuruka katika
Airpot ya Jijini Mwanza na ikafeli na kudondoka ndani ya ziwa Victoria.