BOB JUNIOUR AKIPOKEA KICHAPO KITAKATIFU:SOMA HAPA KUJUA KILCHOMKUTA:
Bob Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na
kuandika: Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu K………..Aaaaah Maisha Haya
Ya Bongo?,,,,COMING SOON Huu Mzigo…1 Love.Hichi ni kichupa chake kipya kitakachokuwa mtaani hivi karibuni: