Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha
mkono wake wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya
baiskeli maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda Soko kuu la
Tabora mjini ajali ambayo ilitokea kwenye makutano ya barabara ya NBC.
Huu ndio mkono wenyewe unavyoendelea kuharibika baada ya kupita
hospitali kadhaa hapa Tabora mjini na kushindikana kupona lakini sasa
aliamua kufika kwenye huduma ya Maombezi Kanisa la AGAPE MIRACLE CENTER
Mwanza road Tabora manispaa kwa Mchungaji Mbagata.





