Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, June 11, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI MARA BAADA LWAKATARE KUPEWA DHAMANA LEO

Wilfred Lwakatare akiongea na wanahabari baada ya kupewa dhamana leo. 
Baadhi ya wapenzi wa Chadema wakiwa na mabango baada ya dhamana hiyo

Wilfred Lwakatare akiongea na wanahabari baada ya kupewa dhamana leo. 
Baadhi ya wapenzi wa Chadema wakiwa na mabango baada ya dhamana hiyo.
Wilfred Lwakatare wakati akiwasili mahakamani leo.
Lwakatare akiwa katika msafara kuelekea makao makuu ya chama Kinondoni jijini Dar.
HATIMAYE Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilfred Lwakatare amepata dhamana katika kesi ya kutuhumiwa kumpa sumu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Mwananchi, Dennis Msaki.  Dhama hiyo imetolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, baada ya kipindi cha miezi inayokaribia mitatu tangu kukamatwa kwake na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph.
NA GLOBAL PUBLISHER
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...