![]() |
| HAPA NDIPO ENEO LINALOTAMBULIKA KAMA UWANJA WA NDEGE AMBAPO KILA MARA AJALI HUTOKEA KWA MAGARI KUFELI BREKI NA KUSHINDWA KUKATA KONA HIVYO KUPITILIZA BONDENI |
![]() |
| MABAKI YA GALI AINA YA SCANIA T669ACU MALI YA KAMPUNI YA LAKE OIL ILIYOKUWA IKITOKEA DSM KUELEKEA KYELA |
![]() |
| HAPA NDIPO WALIPOKUTWA TINGO ALIYENUSURIKA KIFO AMBAPO DEREVA WAKE NA MWANAE WALIFARIKI PAPO HAPO |
![]() |
| ENEO AMBALO GARI HILO LILISHINDWA KUKUNJA KONA KISHA KUTUMBUKIA KORONGONI |
![]() |
| NASIBU RAMADHANI AMBAYE NI TINGO WA GALI HILO |
![]() |
| MAJERUHI NASIBU RAMADHANI AKIPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU KABLA YA KUKIMBIZWA KWENDA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA |
![]() |
| MABAKI YA GALI |
![]() |
| POLISI WAKIWA ENEO LA TUKIO |
PICHA NA ALLY KINGO-RUNGWE












