Waswahili husema ..."Mapenzi ni UCHIZI"...
Hili ndo tunalolishuhudia kwa Mh Zitto na Manzi wake MAPEPE (
Loveness Diva ) ambaye ameamua kumtema na kupeleka penzi lake
kwa Prezzo wa Kenya....
Kwanza ulianza ujumbe wa kumpongeza Prezzo na ahadi ya kumtema RAIS WETU MTARAJIWA....
Baaye kikafuata KIBUTI kwa mh. Mbunge.
![](http://1.bp.blogspot.com/-B4c_hPTBAlY/UZH7-awxvzI/AAAAAAAAf8Y/RJqzJy4npP4/s1600/diva.jpg)