Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo wakati alipotembelea sehemu za Kihistoria zilizopo
katika mji wa Beijing nchini China kiwa katika ziara ya kiserikali na
ujumbe wake,[Picha na Ramadhan Othman,China.] 
Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mw3amamwema Shein,akiangalia kitabu wakati alipotembelea makumbusho ya
kihistoria katika Mji wa Beijing nchini China,katika ziara ya
Kiserikali kwa mualiko wa serikali ya Jamhuri ya Watu wa China,(kulia)
Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar,Bibi Chen
Qiman.[Picha na Ramadhan Othman,China.] 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifuatana na ujumbe wake wakitembelea sehemu mbali mbali za
Kihistoria zilizopo katika makumbusho ya Mji wa Beijing nchini China
kiwa katika ziara ya kiserikali,[Picha na Ramadhan Othman,China.] 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifuatana naMkewe mama mwamamwema Shein,katika viwanja vya
Makumbusho ya Kihistoria nchini Nchini China pamoja na ujumbe waliofuatana nao katika ziara ya kiserikali,[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Pichani
inayoonekana ni moja wapo ya Majengo yaliyokuwemo katika Eneo kubwa
sana la kumbukumbu za Kihistoria katika Mji wa Beijing,ambapo wananchi
wa China wakiwa na ukarimu wa aina yake,[Picha na Ramadhan
Othman,China,]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiuliza swali kwa waongozaji na watoa maelezo katika sehemu za
kihistoria zenye kumbukumbu nyingi,zinazopelekea wageni wa aina tofauti
kutembelea katika mji huo wa Beinjing nchini China.[Picha na Ramadhan
Othman,China.]



