Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua akizindua mpango wa maktaba ya dijitali
kwenye shule ya msingi ya Nganana wilayani Arumeru. Wengine pichani
kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Tekinoloji, Profesa Makame Mbarawa, Mbunge wa
Rungwe Magharibi, Profesa David Mwakyusa, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Sayansi na Tekinolojia cha Mandela, Bulton Mwamila na Mwalimu Mkuu wa
Shule ya Msingi ya Nganana , Samweli Paanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Wanafunzi
wa Shule ya Misingi ya Nganana wilayani Arumeru wakionyesha kifaa cha
elektroniki kiitwacho Electronic Reader che uwezo wa kuhifadhi vitabu
zaidi ya 2000 kila kimoja katika uzinduzi wa Maktaba ya Elektroniki
uliofanywa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kwenye shule ya Misingi ya
Nganana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi
ya washiriki wa sherehe za uzinduzi wa maktaba ya elektroniki kwa shule
za msingi uliofanyika kwenye shule ya Msingi ya NgananaMay 10, 2013.
Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo pinda. (Picha na Ofisi ya Wazri
Mkuu).