Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej (kushoto)Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mazingira Tanzania Bara Mhe Teresiya Havisa, waiwasili katika viwanja vya kuhifadhia makontena bandari ya Zanzibar kuangalia, unga mbovu ulioko katika bandari hiyo ulioingizwa Nchi mwaka jana mwezi wa Mei 2012

Makontena
30 yakiwa katika bandari ya Zanzibar yamezuiliwa mwaka jana Mwezi wa
Mei 2012, yaliokuwa na Unga Mbovu ulioingizwa Nchi na Mfanyabiashara kwa
ajili ya matumizi kwa Wananchi, ulizuiliwa kutokana na kuharibika na
haufai kwa matumizi ya binaadamu.ukisubiri hatuwa ya kuuangamiza.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mazingira Tanzania Bara Mhe
Teresiya Havisa, akisalimiana na Mrajisi wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt.
Burhani Othman, alipowasili katika maeneo ya kuhifadhia makotena
kuangalia Unga ulioharibika, akiongozania na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej.
Mrajisi
wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt. Burhani Othman, akitowa maelezo ya Ungu
Mbovu ulioko katika bandari ya Zanzibar kwa Ujumbe wa Mawaziri wa Mhe.
Fatma Ferej, Mhe. Teresiya Havisa na Waziri wa Afya Mhe. Juma
Duni.wakiwa katika eneo lilohifadhiwa makontena hayo katika bandari ya
Zanzibar jumla ya makontena 30 yakiwa na unga huo.kulia Naibu Katibun
Mkuu Mazingira Dkt. Islam.
Mrajisi
wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt. Burhani Othman, akitowa maelezo ya Ungu
Mbovu ulioko katika bandari ya Zanzibar kwa Ujumbe wa Mawaziri wa Mhe.
Fatma Ferej, Mhe. Teresiya Havisa na Waziri wa Afya Mhe. Juma
Duni.wakiwa katika eneo lilohifadhiwa makontena hayo katika bandari ya
Zanzibar jumla ya makontena 30 yakiwa na unga huo
Waheshimia wakienda kuangalia unga huo katika moja ya Makontena hayo katika bandari ya Zanzibar.
Unga
ukiwa katika Kontena ukiwa umeharibika na kutofaa kwa matumizi ya
Binaadamu kwa Chakula, yakiwa katika bandari ya Zanzibar yakisubiri
hatua za kuharibiwa na Taasisi husika.