Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, May 25, 2013

WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA MAONI MPANGO WA MAENDELEO

IMG_7504Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Peniel Lymo (Kushoto) akiongea na mwakilishi wa Kamati  ilyioandaa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanza yaliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam.IMG_7515Waziri Mkuu Mh.Mizengo Peter Pinda (Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya maandalizi ya ufunguzi kusimamia mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanzaIMG_7516Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Bwana Assah Mwambene akiingia katika viwanjwa vya Makumbusho ya Taifa  jijini Dar es Salaam kuhudhuria ufunguzi wa maonesho ya  mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanza.IMG_7523Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal (Kushoto) akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Peniel Lymo mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya ufunguzi wa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya kwanza jana jijini Dar es Salaam.
IMG_7529Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania Mh.Dk. Jakaya Mrisho Kikwete(Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya kusimamia Mpango wa maendeleo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...