Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, May 25, 2013

SALMA AND SIR DATTY WA NGOJA KIDOGO WATAMSINDIKIZA NEY MAISHA CLUB




   Wanamuziki chipukizi toka Dar Salma and Sir Datty  wanaotamba na wimbo wao wa Ngoja kisogo ni miungoni mwa wasanii  watakaoipamba show ya  Ney  wa mitigo katika kutamburisha video ya mziki gani katika ukumbi wa maisha club hapo kesho. Akitia nami story Ney amesema hao ni moja ya wasanii anaowakubali hivyo ameona ni vyema akiambatana nao katika show hiyo ambayo vide yake imwzinduliwa kwa mara ya kwanza katik ukumbi wa Dar live J.mos iliyopita na kesho watafanya utambulishi hapo Clum Maisha
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...