Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, May 20, 2013

PICHA: NGASSA ATAMBULISHWA RASMI YANGA, AMWAGA WINO MIAKA MIWILI


Mwalusako na Ngassa

Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo

Seif Ahamad 'Magari' akimkumbatia Ngassa

Mabosi wa Yanga SC na Ngassa

Abdallah Bin Kleb akimkumbatia Ngassa

Mussa Katabaro akimkumbatia Ngassa

Mwalusako akimshuhudia Ngassa anavaa jezi

Ngassa anavaa jezi

Anavaa jezi
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...