Picha: Mastaa kibao walivyotokea kwenye ‘private screening’ ya Ludacris ya Fast & Furious 6 – Atlanta
Ludacris
aliandaa private screening ya filamu ya Fast and Furious 6 jijini
Atlanta ambapo mastaa kibao walijitokeza kumpa shavu akiwemo binamu yake
Monica na mumewe Shannon Brown, Young Jeezy, Toya, Letoya Luckett na
wengine.