Pages
(Move to ...)
Home
▼
Sunday, May 19, 2013
PICHA: DAVID BECKHAM ALIVYOAGWA KWENYE MECHI YA MWISHO BAADA YA KUTANGAZA KUSTAAFU
David Beckham na familia yake katika mechi yake ya mwisho kuichezea PSG baada ya kutangaza kustaafu soka.
David Beckham akiagana na kocha wake Carlo Ancelloti
Machozi yakimtiririka David Beckham wakati uwanja mzima uliposimama kumuaga
‹
›
Home
View web version