SI JAMBO
RAHISI (Yer 33:3). Hivi ndivyo ilivyokuwa hospitalini leo wakati daktari
wa jicho aliyedhaminiwa na hospitali ya Milpark alipokuwa akinichunguza
jicho lililoharibiwa wakati wa
shambulio usiku wa kuamkiia Machi 6 mwaka huu. Hapa ni Johannesburg,
Afrika Kusini ninakoendelea na matibabu.