Bw
Sihaba Vuai afisa mazingira ofisi ya makamu wa kwanza wa rais zanzibar
akizungumza kuhusu hali ya mazingira ya zanzibar na madhara yatokanayo
na mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano wa kamati ya kitaifa ya
wataalam ya mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini zanzibar
Wanakamati
ya kitaifa ya kitaalam ya mabadiliko ya tabia nchi wakimsikiliza mtoa
mada hayupo pichani katika mkutano unaoendelea mjini zanzibar (Picha na
Evelyn Mkokoi)