Mmoja
kati ya watumishi wa Mahakama kuu kanda ya Iringa Bw Bawadhil akiwa
katika viwanja vya mahakama hiyo leo majira ya saa 5.05 asubuhi hii
Watumishi wa mahakama kuu kanda ya Iringa wakijuliana hali
Hawa ndio wananchi waliofika mahakamani hivi sasa kusubiri kusikiliza kesi ya mbunge na machinga
Hili ndilo gari la mbunge Msigwa ambalo jana lilifika eneo la Mashine tatu kabla ya mambo kuharibika
Ulinzi mkali wa polisi waimarishwa kituo cha polisi
Dakika chache kuanzia sasa mbunge na wenzake watafikishwa mahakamani endelea kutembelea na francis godwin