Martin Fundi kutoka Kimara
usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika shindano la The Vodacom Mic
King 2013 na kujinyakulia gari jipya aina ya Toyota Funcargo (new
model). Shindano hilo lililokuwa likidhaminiwa na Kampuni ya simu ya
Vodacom lilidumu kwa takribani miezi sita na usiku wa kuamkia leo ndiyo
limefika tamati. (PICHA NA RICHARD BUKOS /GPL)