Mama Tunu Pinda akiwa anaonyweshwa na Paroko Peddy Castellino mahali Bomu lilipo angukia na kusababisha maafa na majeruhi katika kanisa Katoliki Parokia ya Olasiti mkoani Arusha katikati ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angela Kairuki kulia kwa Mama Pinda ni Mkuu wa Wilaya Arusha Jonh Mongela picha na Chris Mfinanga
Mama Tunu Pinda akiwa na viongozi wa parokia ya Olasiti wakiwaombea Marehemu walio fariki kutokana na Bomu lililo tupwa katika kanisa Katoliki parokkia ya Olasiti Mkoani Arusha marehemu hao wamezikwa katika eneo la Kanisa mahali Bomu lilipo tupiwa Picha na Chris Mfinanga
Mama Tunu Pinda akiwa anampa pole Bibi Consesa Mbaga (43) ambaye nimiongoni wa majeruhi walio lazwa katika Hospitali ya Maunt Meru kutkana na majeraha ya bomu iliotokea katika Kanisa la Katoliki Parokia ya Olastiti na kusababisha vifo na majeruhi picha na Chris Mfinanga
Picha ya maktaba ikionyesha wahanga wa bomu hilo wakihangaika mara baada ya mlipuko.
……………………………………………..
MKE
WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda amesema Watanzania wote kwa pamoja wana
kila sababu ya kujinyenyekeza mbele za Mungu na kuendelea kuomba ili
pasitokee tena ulipuaji wa mabomu kama lile la Arusha.