Lori la kampuni ya Mafuta ya Lake
Oil likiwa limepata ajali maeneo ya Mlima Nyoka-Mkoani Mbeya,Aidha
katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa baadhi ya watu
kadhaa walijeruhiwa.
Baadhi ya Wakazi kutoka maeneo
mbalimbali ya Mlima Nyoka ikiwemo jirani na mji maarufu wa
kibiashara,Uyole jijini Mbeya wakiwa wamejumuika kwa pamoja wakigombea
mafuta yaliyokuwa yakimwagika,mara baada ya Lori la Lake Oil kupata
ajali.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.