Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, May 25, 2013

LADY JAY DEE NAYE AMSHANGAA MWANA FA. KUTOKANA NAYE KUANDAA SHOW TAREHE MOJA NA KUAMUA KUMCHUKUA LINNAH. SOMA ALICHOKISEMA HAPA

   
 
 
Kutokana na JIDE kuwa na show yake kubwa mnamo tarehe 31 mwezi huu pale nyumbani lounge ,Sasa rafikiye wa karibu sana MwanaFA inaonyesha naye ameanda show yake siku hiyohiyo  ya Tarehe 31,Zaidi ya yote mwana FA akawachukua  wasanii walio jitoa katika show ya JIDE kama Linnah  sa kutokana na sitofahamu hiyo mtandao huu wa thechoicetz uliweza kumtafuta JIDE kupitia twitter na kumuu liza juu ya hili swala naye aliweza kutoa yake anayo yafikiria,pia mtandao huu wa thechoicetz ulimtafuta  MwanaFA lakini mwanaFA hakuweza kutujibu swali tulilo muuliza hadi muda huu



Hivi ndivyo jide ALIVYO TUJIBU


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...