LADY JADEE ATOA SABABU YA KUTOTOA WARAKA MWINGINE ALIOSEMA ATAUTOA TAREHE 15 MWEZI HUU
Nadhani
baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila
mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea
kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.
Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo
kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au
kutozungumza tena