Raia watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la
mlipuko wa Bomu huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa
nchini mwao...
Taarifa zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki na mlipuko wa bomu
hilo.Kilichotokea ni kwamba, siku ya tukio walikuwa karibu na eneo
la kanisa na ndo maana walikamatwa...
Raia hao wameachiwa kwa ushirikiano mkubwa wa ubalozi wa UAE na Tanzania
Unaweza kutembelea hii link kwa ripoti kamili: