HII NDO TWEET YA JIDE ILIYOWASHANGAZA WENGI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Staa
wa bongo mwanadada Lady Jay Dee jana kuptia ukurasa wake wa twitter
ameandika kutaka kihama nchi yake hii na kuelekea nchi jirani ya ya
Kenya au malawi
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika hivi