Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, May 3, 2013

Exclusive: Fid Q aelezea sababu za kuandikwa kwenye makala ya uzazi salama ya mtandao wa Huffington Post wa Marekani

Fid
Hiyo picha juu inaonesha sehemu ya makala yenye jina ‘The Role of the Artist Is to Make [the Maternal Health] Revolution Irresistible’ iliyoandikwa na Lisa Russell (Emmy-winning Filmmaker, MDGFive.com co-founder) iliyoandikwa kwenye mtandao mkubwa duniani wa Huffingtonpost.
Tumezungemza na Fid kuhusu kutajwa kwenye makala hiyo aliyesema:
“Nadhani ni kwasababu unakuwa ni mtu wa kufanya vitu vya jamii watu wa UNESCO waliniapproach kwasababu ni mtu ambaye nipo kwenye positive movement cause I’m trying hard to keep the positive movement alive so ikawani ni easy kwao kusema kwamba tutamhitaji Fid Q.
So Watu wa UNESCO wakawa wamenicheck wakanifahamisha kwamba watu wa maternal health wanakuja, MDGFive. Walipokuja wakaja na wanamuziki ndio maana nikakutana na watu kama akina Maya, akina Okai kutoka New York tukaconnect vizuri. Tukaenda studio tukarekodi ngoma kuhusu masuala hayo, watu waweze kujifungua kwa njia salama ambayo inapatikana bila tabu.”
Msikilize zaidi hapa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...