Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 14, 2013

Bomu Arusha:Emirates Waitaka Tanzania iombe Radhi Kwenye Vyombo vya Habari Kuhusu Raia Wake



Kufuatia kuzuiliwa kwa raia wa kigeni (UEA) nchini Tanzania wakihusishwa na kadhia ya mlimpuko wa Bomu huko Arusha....UAE imeitaka Tanzania kuomba radhi kwenye Vyombo vya habari...na wamekwenda mbali hata kutishia kuvunja uhusiano wa kibalozi. Leo Waziri Membe kutua Arusha
Source: Wakili wa ndugu wa familia akizungumza na BBC
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...