Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, May 20, 2013

BIRDMAN AZIDI KUTHIBITISHA KUA ANA MSHIKO ZAIDI, HIKI NDO KIASI CHA PESA ALICHOTOA KAMA MSAADA

Birdman Makes $50,000 Donation To Swizz Beatz' Charity
Wiki hii, msanii kutoka pande za Obama anayefahamika ka Birdman. Au ka wengi wanavyopenda kumwita The chairman of YMCB. Mmoja kati ya marapa watano wanaomiliki mkwanja mukbwa zaidi kwa wasanii wa HIPHOP alipigiwa simu na Msanii mwenzake Swizz Beats na jibu alilotoa liliwashangaza watu wengi.

Swizz alimpigia na kumwomba mchango wa Birdman kwa ajili ya kuchangia Charity ya Swizz, na mazungumzo yaliendelea na patamu palikuja pale alipoulizwa atachangia mshiko kiasi gani alijibu hivi:


"Anything for you homie... $10,000, $40,000, $50,000, whatever works for you."

"The number you stopped on wasn't a bad one," Swizz replied, grabbing the $50,000 offer from Baby.

Birdman ni noma aliamua kuchangia $50,000 ambazo ni sawa na shilingi
81,250,000.00 za kibongo.birdman anasifiwa kwa kumiliki magari makali na private jet za kifahali zaidi.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...