Akiongea kwa kujiamini ,Shilole alisema kuwa hata mtu awe vipi, au awe wa dini gani au
awe na pesa kiasi gani kamwe hawezi kumvulia nguo kama hana kondom mkononi.....
Msanii huyo alienda mbali zaidi na
kuzilaani kauli za baadhi ya watu zinazosema eti ukitumia
"CONDOM" ladha ya mapenzi inapungua.Yeye anadai kuwa ni mdau wa
"GEMU" hilo na huwa anatumia NDOM kama kawa na hufurahia kama
kawaida...
" Hata
niwe nimelewa kiasi gani huwa nipo makini sana maana najua vijana wengi
wa mjini wananimezea mate....Waje tu , lakini bila KINGA wataambulia PATUPU!!” Alisisitiza Shilole