Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkuu
wa Idara ya Mahusiano Biashara za Serikali NMB, Domina Feruzi kwa ajili
ya wahanga wa bomu lililotokea hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu
Joseph ikiwa ni msaada wa benki ya NMB.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akimshukuru Meneja Mwandamizi wa Masoko na Chapa NMB Rahma Mwapachu
baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka
NMB kama msaada kwa wahanga wa bomu Arusha.