Kweli fedha mwanaharamu huyu ni binti
kutoka nchini ghana anae faamika kwa jina la Safuratu; binti huyu
amejikuta katika matatizo makubwa baada ya picha uchi kwa lengo la
kumtumia mzungu aliyekuwa anachati nae facebook kunaswa na mapaparazi.
Tukio hilo lilitokana na mzungu huyo
kumtaka dada huyo apige picha hizo alafu amtumie kwa njia ya inbox
kupitia facebook na kisha mzungu huyo atamtumia dola $200 kama zawadi
kama angefanikisha swala hilo, lakini kwa bahati mbaya zaidi dili hilo
halikuweza kufanikiwa baada ya picha hizo kuvuja na kusambaa mitandaoni.

PICHA ZINGINE NIMESHINDWA KUWEKA KWA SABABU YA MAADILI HILA NI AIBU TUPU!!




