![]() |
Katika hali isiyo ya kwaida jana jioni , waziri muhongo amepatwa na kadhia
ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa mjini kati.
Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani
wamachinga, walianza kumzomea kumuita “chura! Chura! Chura! Chura!” hali
iliyompelekea Bw. Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari
iliyokuwa ikumsubiria pembezoni mwa barabara. Baada ya kufika kwenye
gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana
wakiendele akumzomea !
MAONI. Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali |
Chanzo:Boss Ngasa