AIBU NYINGINE:PICHA ZA USHENZI ZA WASANII WA KOMEDI ZAFUJA,WAZAZI WAJA JUU KWA UDHALILISHAJI WA WATOTO WAO:
Mmoa wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kingua cha aibu kabla ya kukivua kabisa.
Hapa tayari akiwa amechojoa nguo
Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana
Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni aibu mbele ya watu
Haya Master Face umepewa "mgongo" huo kazi kwako habati hiyooooooooo kakaangu!
Hapa Happy akiwa na msanii mwingine wa kundi hilo Manaiki Sanga kama anavyoonekana kwenye picha.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua picha
zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja
ya huko Kigamboni zimezusha balaa kubwa mtaani huku familia za wasichana
hao zilikija juu.
Picha hizo ambazo blog hii ilizinasa kwa
gharama kubwa toka kwa mmoja wa wafanyakazi wa fukwe ya Chadibwa
zilikopigwa bila kundi hilo kutambua kama walikuwa wanafotolewa picha
hizo.
Habari zaidi zilisema kuwa picha tangu
zimewekwa kwenye blog hii zimeanza kusambaa hadi kuwafikia wanafamilia
ambao wamekuja juu huku wengine wakitaka kuchukuwa hatua za kuwashtaki
wasanii hao kwa udharirishaji wa watoto wao.
Mwandishi wetu ilimtafuta kiongozi wa
kundi hilo Mtanga ili kuzungumzia ambapo alipatikana na kueleza kwa
ufupi " Kaka hali ya Mungu mimi sijaiona hizo picha hivyo nashindwa
kueleza chochote,Isipokuwa kama kuna malalamiko yoyote toka kwa
wanafamilia hao wafike ofisini kwetu tuweke sawa" Alisema Mtanga