WEMA SEPETU ASEMA HAKUNA STAR KAMA YEYE TANZANIA,DIAMOND ANATAFUTA KICK KUPITIA YEYE. NI BAADA YA KUNASWA AKIMBEMBELEZA DIAMOND
Mwanadada
star Tanzania shineng star WEMA SEPETU amesema hakuna star kama yeye
Tanzania,ameyasema hayo leo katika kipindi cha uhead clouds fm na sudy
brown baada ya kupigiwa simu na kuhulizwa kuhusu simu aliyompigia
DIAMOND PLATNUMA inayosemekana alikuwa anabembeleza PENZI kwa mnyama
DIAMOND PLATNUM na kumpa PENNY kuongea na WEMA SEPETU.