Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, April 27, 2013

WARATIBU WA MIKOA WAKITATHMINI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA


1Mratibu wa Mkoa wa Pwani katika mchakato wa upatikana jiwa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Mohamed Magati akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
2Mratibu wa Mkoa wa Ruvuma katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Christina Kumwenda akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za TumeJijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
3Mratibu wa Mkoa wa Shinyanga katika  mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Godfrey Kajia akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).4Waratibu wa mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya katika mikoa 30 ya Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti yaTume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Uratibu katikaTume, Joseph Ndunguru (wapilikulia, mstariwambele) mara baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika katika ofisi zaTumeJijini Da re s Salaam leo (Jumamosi April 27, 2013).PICHA NA TUME YA KATIBA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...