WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 17/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
| |
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mbeya na Rukwa]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na Ruvuma]
[Mkoa wa Morogoro]
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:23
|
DODOMA
|
29°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
29°C
|
01:02
|
MBEYA
|
24°C
|
12:45
|
MWANZA
|
28°C
|
12:50
|
TABORA
|
28°C
|
12:50
|
TANGA |
30°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:23
|
PEMBA
|
31°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:32
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote
Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi..
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano 17/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA