Muungano: Watanganyika tunapigika kwa kukosa msimamo sahihi katika falsafa ya win, win situation
Wapendwa!
Falsafa ya win wi situation huzingatia nanufaa ya kila upande either
katika mkataba au katika makubaliano yoyote ambapo, pande
zinazokubaliana kuingia katika mkataba au makubaliano husika kila moja
inapata nanufaa yanayozingatia haki na uhusika katika mkataba au
makubaliano!
Watanganyika tunajikuta tunakuwa loosers katika almost kila mkataba,
Tatizo ni nini? Kwa tathmini fupi niliyowahi kuifanya nikagundua kama
taifa, hatuzingatii falsafa ya win win situation. Mataifa kama Marekani,
wanaweza kukusaidia katika vita, lakini mwisho wa siku you have to pay,
yeah, umeshinda vita kwa msaada wao,je wao wananufaika vipi? That is
purely the psylosophy of win win situation!
Sisi kama taifa, kihistoria bila kumung'unya maneno, tulichangia katika
ukombozi wa mataifa mengi, hebu nianze na Zanzibar, nadhani ku win kwetu
ni eti kuunganisha mataifa mawili, hebu tutafkali, hiyo ni win win
situation? kwa upande wangu hiyo sio win win! Wao wanapata je sisi
tunapata?
Katika ukombozi wa bara la africa, ni kweli tumechangia kwa asilimia
nyiingi saana, je tume win nini? wengine watasema uhuru wa muafrica, je
inatosha? Wametulipa nini baada ya uhuru wao? Nadhani ni wakati muafaka
kama taifa kuzingatia kwa kina hii falsafa ya win win situation, ili
laana isizidi kututafuna, manaake ina reflect kwenye mikataba mingine ya
kawaida kama ya madini nk, ni laana ya kutozingatia haki, tunaona ni
haki kutoa kitu bila kupokea, tunapotea! lets stick kama taifa katika
falsafa hii ili tuviokoe vizazi vijavyo kuzama katika utumwa, remember
always you win i win!