Pages

Saturday, April 27, 2013

MKUU WA MKOA WA MWANZA AFUNGUA BONANZA LA MAVETERANI


 Wachezaji wa Veterani Moro'Kioo cha jamii wakipata chkula jana mchana mkoani Shinyanga kabla ya kuelekea jijini mwanza kushiriki Bonanza.
 Timu ya Queens Moro Veteran akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuwakabila wenzao wa Dodoma kwenye bonanza hilo leo asubuhi
 Mshambuliaji hatari ya Moro Queens Veteran Kaundime akimiliki mpira huku akichunga na beki wa Dodoma Veteran
 Baadhi ya wachezaji wa Moro Veterani wakiwashngaili Queens Vetera kwenye mchezo huo ambao hadi matandai huu unaenda hewani Moro Vetera walikuwa nyuma ka bao 20-17

 Mchazaji wa zamani wa Yanga Pamba ya Mwanza na taifa stars Fumo Felisia[kushoto] ambaye kwa sasa ancheze veterani ya Mwanza akimtoka kwa kasi beki wa Arusha Veterani Preso Pawasa timu hizo zimetoka sale ya bila kufunga.
MKUU wa Mkoa wa mwanza Evalisti Ndikila leo asubuhi amefungua bonanza la wachezaji wa zamani'Maveterani wa Mikoa ya Bukoka,Arusha,Dodoma,Morogoro na wenyeji Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba