Huu ndio Mfano wa kuiga inabidi Wabunge wawe karibu na Wananchi ili waweze kuona Wananchi jinsi wanavyopata Shida ya Maisha yao ya kila siku hongera Mbunge wa Ubungo Mheshmiwa JOHN MNYIKA