Inaonekana muigizaji wa filamu Elizabeth
‘Lulu’ Michael ameingia location kufanya filamu yake inayoaminika kuwa
ya kwanza tangu atoke mahabusu mwezi January mwaka huu.
Kupitia Instagram, juzi Lulu ameshare
picha inayomuonesha akiwa location na muigizaji Hashimu Kambi na
kuandika, take 1 action, Mic location, me doing my thng.”
Katika hatua nyingine, Lulu amelalamika kuwepo kwa akaunti fake ya Twitter yenye jina lake iitwayo @Lulu_actress.
“Haya lulu
mwingne huyo on twitter…..!am tired jaman…nyie ma lulu nioneeni huruma
basi…..!!!nimechoka kusikia case’z zenu!!!!NIMECHOKA JAMANI ,” ameandika Lulu kupitia Instagram. |