Pages

Friday, April 26, 2013

KILIO CHA MISHAHARA YA WALIMU BADO PALEPALE


Rais wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba (kushoto).akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam.wakati akitoa wito kwa serikali kukubali kwa nia njema kukaa meza moja ya majadiliano na CWT kwa ajili ya mishahara ya walimu  (kushoto kwake) kaimu katibu mkuu chama cha walimu Tanzania(CWT) Bw;Ezekiel Olouch SONY DSC 
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo wakimsikiliza kwa umakini Rais wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba wakati akitoa wito kwa serikali
 SONY DSC
Mwalimu. Grtian Mukoba akifafanua jambo mara baada ya kumailizika kwa mkutano huo leo