KAKA YAKE ZITTO KABWE AFUNGUKA KUHUSU WANASIASA KUINGILIA SWALA LA KUVAMIWA KWA MAMA YAO
KAKA YAKE ZITTO KABWE AFUNGUKA KUHUSU WANASIASA KUINGILIA SWALA LA KUVAMIWA KWA MAMA YAO
"Nawaonya
wanasiasa kuepuka kusema lolote kuhusu suala la kuvamiwa Kwa mama yetu.
Familia haijamtuma Mtu yeyote kuwa msemaji wa familia kuhusu suala la
usalama wa mama yetu. Tunalaani kitendo chochote kuhusu Maisha ya mama
yetu kuingiliwa na wanasiasa. Hatutavumilia Kwa namna yeyote ile
kuingiliwa katika jambo hili. Suala hili lipo polisi na tuache polisi
wafanye uchunguzi.