Social
network dramaz au ndiyo another bedmet???, sexiest female celebrity
aliyepata taji hilo kupitia kura za wananchi kwenye magazeti ya Global
Publisher “Jacklyne Wolper”, “WolperGambe”,”Dada muuza sabuni”. Hivi
sasa huenda akawa ana-roll na mshkaji mmoja anaitwa “Rammy Galis”ambaye
pia ni muigizaji na utakuwa ushamuona kwenye movie ya “Malaika” akiwa na
Rose Ndauka na Seth Bosco. Sasa bana solid snitch wa bongomovietz.com
ameziona nyendo za hawa “might-be-bird-lover” wakirushana my bebe my
lova kwenye mitandao ya kijamii.
Cheki hapo chini jamaa ka-post picha la Wolper na caption za My
bebe!!. At the same tym Wolper na yeye akatupia picha ya jamaa lakini
akapiga kimya bila caption. Kuna uhusiano mzuri tu kati ya hawa wawili,
kama ni baba na mama basi heri, kama ni kaka na dada basi bariiiiida
vilevile.Hatutaki kumuuliza hata mmoja kati yao kuhusu ukweli juu ya
mahusiano yao kwasababu jibu litakuwa lilelile tu kama kawaida ya watu
maarufu, “we are just good and close friends”. Keep on coming hapahapa
utazipata zingine za ki-gossip kuhusu hili.