Moja ya Jengo lililo na mvuto
Duniani Baada ya kuwa kivutio Kikubwa ambapo barabara inapita katikati
ya jengo hilo. Jengo hilo linaitwa Gate Tower Building "Bee Hive" lipo Fukushima katika Jiji la Osaka Nchini Japan.
Jengo hilo linamilikiwa na Kampuni ya Suezawa Sangyo Co., Ltd. na kujengwa na kampuni ya Sato Kogyo Co., Ltd.
Mmiliki
wa Jengo hakutaka kupoteza jengo lake kwa kuliuza kwa kampuni ya
Hanshin Expressway Company kwaajili ya kujenga barabara na hatima yake
ikabidi kampuni ya Hanshin Expressway Company kukubaliana na Mwenye
Jengo na kuamua Kupitisha barabara katikati ya Jengo na kupelekea Kuwa
Moja ya Jengo lenye Mvuto Duniani