Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi
wa
Ofisi
ya Makamo wa Kwanza wa Rais , katika utekelezaji wa kazi
za
Ofisi
hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo
jioni,Baadhi
ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali
katika
Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais ,wakiwa katika Ukumbi
wa
mikutano
wa Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Utekelezaji wa
Kazi
za
Ofisi hiyo chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti
wa
Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
jioni
leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]M
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
Dk.Islam Seif Salum,(kushoto) akiwa na Wakurugenzi na maofisa wa
Idara mbali mbali ,katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini
Zanzibar,katika kikao cha Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) jioni leo,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]