Kifo
cha gwiji wa muziki katika Bara la Afrika ,akikadiliwa kuwa na umri wa
miaka 104, Fatuma Binti Baraka'Bi Kidude' kimegusa wengi ndani na nje ya
Bongo kufuatia mateso aliyopitia hadi kifo, Ijumaa lina ripoti ndefu.
CHANZO NI MARADHI
Bi Kidude alifariki dunia Aprili 17, mwaka huu baada ya kulazwa kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya Kisukari na uvimbe kwenye kongosho.
akatolewa.”Bi Kidude alifariki dunia Aprili 17, mwaka huu baada ya kulazwa kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya Kisukari na uvimbe kwenye kongosho.
MBALI NA MARADHI
Katika mahojiano na watu mbalimbali, ukiondoa maradhi, tangu umri wake ulipovuka miaka 90 ndipo matatizo ya uzee yalipoanza hadi alipokutwa na umauti zaidi ya miaka 10 baadaye.
‘AFA’ MARA 13
Katika kuumwa kwake, Bi Kidude alizushiwa kifo takriban mara 13 na kusababisha taharuki hadi Mungu alipomchukua kiukweli.
Kufuatia hali yake ya kiafya, mwanzoni mwa mwaka huu alithibitishwa kutoshiriki katika Tamasha la Zanzibar Films Festival (ZIFF) na kuaga kwamba hatashiriki tena.