Pages

Friday, April 26, 2013

AIBU HII MPAKA LINI KWA WATANZANIA........?



Madada wengine hawana heshima kabisa, umealikwa kwenye halafu unafanya mambo ya ajabu  kama hawa wadada chini. wamealikwa wanaanza kucheza kihasara hasara. Nguo zenyewe walizovaa.....
Wengine ni watu wazima kabisa lakini walivyovaa kama watoto wa miaka 23. Kweli akina dada tujiheshimu.......